Kigi Makasi
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,259
- 2,483
[emoji24][emoji24]yaani hiyo sifa namba 3 nilivoona tu chuo kikuu nikasema nimo, kumbe kumeendelea mpaka mamilion khaaah, si atuue sasaWe kasema uwe na monthly income ya 3M,, kama huna basi mtaji wako wa biashara uwe 100M.
Dada hajatata fundi wa kwenda kumtengua kiuno
Wee mtu anakesha uko anaiba na kunene ndo mzugaji kweli?Walokole wengi wazugaji sio kama wasabato. Walokole baadhi wanasema jali matendo na sio mwonekano
ππ
Pa' Mac Alpho kumbe hakuna hata kuvaa hereni na hujaniambia..??
Ndoa ni kharamu ππππββοΈπββοΈ[emoji24][emoji24]yaani hiyo sifa namba 3 nilivoona tu chuo kikuu nikasema nimo, kumbe kumeendelea mpaka mamilion khaaah, si atuue sasa
π€£π€£Labda thesis yake ya masters ilikua practicle ya hayo mambo loh!!!
Sasa hii hii si itatusha? Me nnazo akili za kuendeleza hizi zije kutuletea utajiri wa kutosha..Sina biashara, ninalipwa ujira wa sh milioni nne net kwa mwezi.
Ahsante
Sikujua...Ndoa ni kharamu ππππββοΈπββοΈ
Wa kufanyaje? Ndoa biashara?Una mtaji wa M100?
###KATAANDOANdoa ni kharamu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2088][emoji2088]
Jamani wamenituma eti nikwambie uweke salary slip ππSina biashara, ninalipwa ujira wa sh milioni nne net kwa mwezi.
Ahsante
Muulize aliyeweka bandiko mkuuWa kufanyaje? Ndoa biashara?
Sawa..Muulize aliyeweka bandiko mkuu
Maneno ni kwa ajili ya slow learners Watu8 π€£
Ni kinyume na kanuni na Sheria dadaJamani wamenituma eti nikwambie uweke salary slip ππ
Sawa mdogo wetu ππNi kinyume na kanuni na Sheria dada
Sawa, nimekupata nabiihapa sio kutafuta mume, ni kutafuta mume wa mtu, wanawake hampo serious sometime.
yani mtu awe na mtaji wote huo, miaka iende hivo, bado awe rijali kama unavotaka na bado awe single, labda jini hilo unless u need to share with someone.
jiandae kuwa lishangazi tu anza kuonga hela kwa vijana.