Natafuta mume

Watu wafupi tunazidi kukandamizwa,hili jambo liingizwe kwenye KATIBA MPYA hiawezekani tudhauriwe hivi na hawa wadada.
Watu wafupi tunataka haki yetu haiwezekani kila mwanamke stake mwanaume mrefu.
 
Ushaendaga kuomba kazi moja wapo ya vigezo uwe na uzoefu WA miaka 20 kwenye kazi....alafu kigezo kingine umri wako usiwe unazidi miaka 30?
Ndo hii
Awe na mtaji WA million mia yet umri miaka 30_40+
Hapo umri huu wengi wanajitafuta
Hizo achievement hapo wengi wao washaoa na ni age go wanasema
Labda ya degree tu wapo kibao
 
Ulimaliza form six na miaka 21, ukasoma bachelor miaka 3, hiyo ni 24 ukasoma masters miaka 2 hiyo ndo 26. Hata ujapumzika unatafuta mme ambae ni fundi kitandani, wewe huo ufindi ulijifunzia wapi?
Kwao Tanga 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…