Natafuta mume

Mm ni mstaafu elimu yangu Oxford,pesa sio issue.Bado naweza kupeleka moto kwa kiwango cha 5G ukiwa interesting njoo PM tumalize kazi ikiwezekana Desemba watu wale ubwabwa na kucheza kwaito.
 
Hahah...unajua sisi ni mabingwa wa kutengeneza mapicha picha kichwani...

Yaani mwanamke akishakuambia yupo vizuri kitandani, basi kichwani unakuwa ushamvua vua manguo, unamuona mchuchu yupo juu ya kochi kavaa thong ya pink...

Hapo mnakuwa hamfikirii kitu kingine baada ya kumvua nguo
Na wanawake wanajua huu udhaifu na kuutumia kwa uzuri kabisa katika utapeli
 
😂😂😂
Vile naenda kinyume na vitu vingi vya ndugu zangu wasabato sijui nitaweka wapi sura yangu..!!
Kweli niache kitimoto kabisa..??
Kwa ndugu zako hautakuwa unaenda kila siku 😂😂😂
Utakuwa unafunika kombe ndugu wapite, wakipita unafunua
 
Duuh mwenye hivyo vigezo kwasasa ana familia tayari.
 
Mm ni mstaafu elimu yangu Oxford,pesa sio issue.Bado naweza kupeleka moto kwa kiwango cha 5G ukiwa interesting njoo PM tumalize kazi ikiwezekana Desemba watu wale ubwabwa na kucheza kwaito.
Utafia kifuani Babu we
 
Hapo mnakuwa hamfikirii kitu kingine baada ya kumvua nguo
Na wanawake wanajua huu udhaifu na kuutumia kwa uzuri kabisa katika utapeli
Katika hao wanaume UNIONDOE mimi kwa list.
Mimi hata uwe uchi na hata uishuke isimame kama msumari huwa siyumbishwi na uchi ambao sijaupangilia kuuingilia, kanuni zangu huwa hazipindishwi na ushawishi wa ghafla kamwe
 
Ulimaliza form six na miaka 21, ukasoma bachelor miaka 3, hiyo ni 24 ukasoma masters miaka 2 hiyo ndo 26. Hata ujapumzika unatafuta mme ambae ni fundi kitandani, wewe huo ufindi ulijifunzia wapi?
Duuuuh......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…