asnath mussa
New Member
- Aug 27, 2023
- 1
- 16
Hatimae naenda kupata mke sasa na mie. Thread closed.,..Asalam aleykum
Naitwa M ni mwanamke wa miaka25 muslim nina elimu ya dini pamoja na stashahada ya pharmacy nahtaj mwanaume awe muislam mwenye kujitambua na anaejua nn maana ya mke enough pesa tutatafuta
0783330989
Allah akufanyie wepesi bibieAsalam aleykum
Naitwa M ni mwanamke wa miaka25 muslim nina elimu ya dini pamoja na stashahada ya pharmacy nahtaj mwanaume awe muislam mwenye kujitambua na anaejua nn maana ya mke enough pesa tutatafuta
0783330989
[emoji1787][emoji1787]Ni lazma awe muislamu bi asnath?
Aaaamin [emoji120]Allah akufanyie wepesi bibie
Asnat , Dini tofauti hairuhusiwi, maana wote waja wake molaAsalam aleykum
Naitwa M ni mwanamke wa miaka25 muslim nina elimu ya dini pamoja na stashahada ya pharmacy nahtaj mwanaume awe muislam mwenye kujitambua na anaejua nn maana ya mke enough pesa tutatafuta
0783330989
Acha tu ukatili wa kihisia [emoji23]Naona Wagalatia Wamekataliwa Hadharani
KABISA Yaani Ameamua KabisaWazee wa Waraka tumetengwa hapa.
ngoja ukute yupo kwao na ges ikiisha unapaswa uwajibike kununua!Umechoka kulala peke yako kama upanga
Mwez mtukufu mchana atuli kipochi unyoya hadi baada ya futar then twafuturu vingine, we utaweza? ,[emoji1787]Asnat , Dini tofauti hairuhusiwi, maana wote waja wake mola