Natafuta mume

Status
Not open for further replies.

Daughter1994

Member
Joined
Jan 12, 2021
Posts
11
Reaction score
18
Namshukuru Mungu mimi nilipata mume hapahapa JF ndoa tumefunga na nina mtoto mmoja na mume wangu siku nitaanzsha uzi hapa
nlvomuadithia rafiki yangu n a yeye akanituma nmtumie maombi yake...

Yeye pia ni MCHAGA single mama la mtoto 1 wa miaka 7
Baba mtoto wake hayupo kabisa
Anatafuta mume MCHAGA ili waendane kiutamaduni
Umri wake 23-28
Kazi:anaapambana na yy ni mwalimu hajaajirriwa
Umbo: mwembamba sio sana na rangi ni maji ya maharagwe
Dini:catholic christianity
Utanipm nmpe namba zako mwenye uhitaji wa mke
 
Ni mchagga wa wapi huyo maana wachaga tunajuana...
 
Poor Brain kwan ww n kabila gani.? Halafu pia c ulnambia na ww unatafuta single mama mjenge familia.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Mbaga jr kijana mi na single maza wap na wapi....
Mybe aje Half american kidogo anaweza stahimili hizo ishu...

Ila pia hayo mambo nilikatazwa na Analyse πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Kaa nayo mbali πŸ˜…
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ni moto πŸ”₯
Sawa sawa nimekuelewa vya kutosha.... Vipi asubuhi yako ya leo mkuu πŸ™πŸ™
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…