natafuta mume

Dada, Mungu akutangulie, akuepushe na mafisi.
Ushauri wangu kwako, muombe sana Mungu, tena kwa kufunga na kuomba, Mungu atakupa mume.
Hata hivyo kwa usiongozwe na pressure ya umri ulionao. Namfahamu dada mwenye 35 yrs, hajateteleka wala haonyeshi kuyumba, very firm in faith. So have faith in God.
 
kwanza unaingiza tsh ngapi kwa mwezi ndo tuendelee na mengine..
 

Nashukuru ibra nami naamini Mungu atatenda
 
Ahsante kalumbu, kyala aliko
Maombi yangu ni kuwa Mungu akulinde na kukutunza dhidi ya matapeli wa internet na ufanikiwe kwa yale unayoyaendea. Kristo Yesu akutunze na kufungua milango ya baraka kwako
 
Mme umepata! Ni mkulima! Ninalima sana! ukiolewa na mimi tunahamia kijijini huku! uwe na uwezo Wa kiendesha power tiller! nikienda kuuza mazao mjini nitaenda
Wenyewe! bank card zako zitakuwa chini ukagizi wangu na mikononi kwangu. Sema ka nakidhi viwango
 
Bidada,mungu akutangulie na akupe haja ya moyo wako mpendwa. nita kupm
 
Vp mume umepata au bado? Kama vp nitoka safari nikutafute plz nifahamishe.
 
Dada angu kuwa makini sana usije ukaumizwa x2.We ukitaka kuwakomoa utakaye mpata usimpe mzigo mpaka ndoa utaona watakavyo ondoka wenyewe
 
Dada angu kuwa makini sana usije ukaumizwa x2.We ukitaka kuwakomoa utakaye mpata usimpe mzigo mpaka ndoa utaona watakavyo ondoka wenyewe

Nashukuru mzinga nimekuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…