Natafuta mume

Naomba Mwenyezi Mungu , asikie haja ya moyo wako, Inshalaah kheri , utapata. Endelea kufunga na kuomba atakupatia mwenye kheri na wewe , na akuepushie mwenye shari na wewe.
 
Natafuta mume jaman....awe muslim jaman

Dah pande hizi wapo wengi mno so ni chaguo lako kama unataka mrefu, mfupi, mnene, mwembamba n.k
kama wapatie mawasiliano wakutafute
 
Wewe huna vigezo na mashart?

Anyway peleka love connect kuna bachelors na degree kule.
 
toa sifa ati..za ustaadh wako unataka aweje, atakuja babu wa miaka 70 akati we una miaka 30...afu uturudie baadae na kuatafute mwingine.........toa sifa watu wajichuje wenyeweeeeeeeeeeee
 
Natafuta mume jaman....awe muslim jaman

nime fika , arafu unabahat nilikua nampango wa kuowa lakini na ghairi kwaaji yako . Nini sifa nyinga , ucheshi, uvumilivu muelewaji , pia nifundi mzuli2 wa mambo ye2 yaleee! Chengina mm ni mtu wa pwani. Najua usha elewa nncho maanisha. Ukini2nuku nitafute pm.
 
kwa nini una u dini?? bhas me nataka nikuone ukinifaa nita slim
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…