Natafuta mume

Natafuta mume

keria

Member
Joined
Jul 27, 2013
Posts
10
Reaction score
1
Hi wana JF.Mimi ni mwanamke mwenye miaka 32,mzaliwa wa K'njaro.Nina elimu ya Chuo Kikuu na ni muajiriwa serikalini.Muonekano wangu ni mweupe,mfupi na umbo la wastani.Najitokeza katika safu hii kwa mara ya kwanza, natafuta mwanaume wa kikristo, mweupe,miaka 33-36 ambaye km tukiridhiana tutanza urafiki, uchumba an then ndoa. Awe na elimu ya chuo kikuu,mpenda maendeleo,asiyetumia kilevi n aliye tayar ani PM
 
Kila la kheri lakn epuka lugha tatanishi kwani mapenzi hayaangalii mwenzi wako awe wa wapi,kila la kheri
 
Khee mwenyeji wa kilimanjaro =mchaga au?
 
Hi wana JF.Mimi ni mwanamke mwenye miaka 32,mzaliwa wa K'njaro.Nina elimu ya Chuo Kikuu na ni muajiriwa serikalini.Muonekano wangu ni mweupe,mfupi na umbo la wastani.Najitokeza katika safu hii kwa mara ya kwanza, natafuta mwanaume wa kikristo, mweupe,miaka 33-36 ambaye km tukiridhiana tutanza urafiki, uchumba an then ndoawangu.Awe na elimu ya chuo kikuu,mpenda maendeleo,asiyetumia kilevi n aliye tayar ani PM

umeshatembea kilometa ngapi?
 
Nipo tayari! Ila tupime kwanza. Ni pm nitakuambia yote.
 
Hi wana JF.Mimi ni mwanamke mwenye miaka 32,mzaliwa wa K'njaro.Nina elimu ya Chuo Kikuu na ni muajiriwa serikalini.Muonekano wangu ni mweupe,mfupi na umbo la wastani.Najitokeza katika safu hii kwa mara ya kwanza, natafuta mwanaume wa kikristo, mweupe,miaka 33-36 ambaye km tukiridhiana tutanza urafiki, uchumba an then ndoa. Awe na elimu ya chuo kikuu,mpenda maendeleo,asiyetumia kilevi n aliye tayar ani PM

keria hebu jaribu kutumia njia hii itakusaidia.
hujambo wapenzi
i am miss ya Marbel Johnson i ni nzuri
sana kuangalia vijana, kutafuta kwa
ajili ya upendo wa kweli Serious na
nzuri sana na ya kueleweka mtu vijana
kwamba anajua maana ya kweli ya
upendo. Nilikwenda kwa maelezo yako
na i kusoma na kuchukua riba ndani
yake, tafadhali kama huna akili i
mapenzi kama wewe kuandika mimi
kwenye ID hii
tafadhali hii ni anwani yangu ya barua
pepe (marbeljohnson_o@ymail.com)
Naamini umbali na umri haijalishi
katika uhusiano mbaya lakini upendo
mambo zaidi. matumaini ya kusikia
kutoka kwenu hivi karibuni, na i na
muhimu sana ya kujadili suala hilo na
wewe. yako Marbel
°°°°°°°°°°°°°°°°°°°
hello dear
i am miss marbel johnson i am very
good looking young, seeking for
Serious true love with a very good and
understandable young someone that
knows the true meaning of love. I went
through your profile and i read it and
took interest in it, please if you don't
mind i will like you to write me on this
ID
please this is my email address
( marbeljohnson_o@ymail.com) I
believe distance and age doesn't
matter in a serious relationship but
love matters most . hoping to hear from
you soon,and i have very important
issue to discuss with you . yours
marbel
 
Last edited by a moderator:
kigezo cha elimu ya chuo sina ila nina pesa za kutosha na mapenz ya kweli
 
Ushauri tu!! Kwa vigezo ulivovitaka itakuchukua muda! Umri 33-36 elimu chuo kikuu mweupe!! Wewe mfupi mweupe mwili mdogo mdogo Umri wako 32!! Nakushauri legeza msimamo kwa umri wako huo kwa sisi wataalam wa saikolojia una miaka miwili tu then itaanza rush hour! Wenzio hua wanatokanao chuoni!! Anyway good luck!!
 
Kwani mapenzi si ayabagui mbona wewe unabagua?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
we mbaguzi wa rangi, ati mchumba awe mweupe! We kaburu? Kwenda huko!
 
Back
Top Bottom