Natafuta mume

keria

Member
Joined
Jul 27, 2013
Posts
10
Reaction score
1
Hi wana JF.Mimi ni mwanamke mwenye miaka 32,mzaliwa wa K'njaro.Nina elimu ya Chuo Kikuu na ni muajiriwa serikalini.Muonekano wangu ni mweupe,mfupi na umbo la wastani.Najitokeza katika safu hii kwa mara ya kwanza, natafuta mwanaume wa kikristo, mweupe,miaka 33-36 ambaye km tukiridhiana tutanza urafiki, uchumba an then ndoa. Awe na elimu ya chuo kikuu,mpenda maendeleo,asiyetumia kilevi n aliye tayar ani PM
 
Kila la kheri lakn epuka lugha tatanishi kwani mapenzi hayaangalii mwenzi wako awe wa wapi,kila la kheri
 
Khee mwenyeji wa kilimanjaro =mchaga au?
 

umeshatembea kilometa ngapi?
 
Nipo tayari! Ila tupime kwanza. Ni pm nitakuambia yote.
 

keria hebu jaribu kutumia njia hii itakusaidia.
 
Last edited by a moderator:
kigezo cha elimu ya chuo sina ila nina pesa za kutosha na mapenz ya kweli
 
Ushauri tu!! Kwa vigezo ulivovitaka itakuchukua muda! Umri 33-36 elimu chuo kikuu mweupe!! Wewe mfupi mweupe mwili mdogo mdogo Umri wako 32!! Nakushauri legeza msimamo kwa umri wako huo kwa sisi wataalam wa saikolojia una miaka miwili tu then itaanza rush hour! Wenzio hua wanatokanao chuoni!! Anyway good luck!!
 
Kwani mapenzi si ayabagui mbona wewe unabagua?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
we mbaguzi wa rangi, ati mchumba awe mweupe! We kaburu? Kwenda huko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…