Natafuta muongoza watalii Mpanga Kipengere Game Reserve

Natafuta muongoza watalii Mpanga Kipengere Game Reserve

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
1,958
Reaction score
1,744
Habari.
Natafuta muongoza watalii mwenye uzoefu wa kuongoza hasa watalii wa ndani kwenye pori tengefu la Mpanga Kipengere niweze kupanga nae safari za utalii wa ndani kutoka mikoani. Whatsapp 0656388678
 
Nikuunganishe na rafiki yangu nilisoma nae ni Ranger na pia anafanya kama Tour guide mda mwingine hapo Mpanga Kipengele GR,kama utakuwa tayari njoo inbox
 
Mimi sio tour guide, lakini nimesha talii kipengele zaidi ya mara 5 sijui kama nitafaa kukusaidia
 
Nikuunganishe na rafiki yangu nilisoma nae ni Ranger na pia anafanya kama Tour guide mda mwingine hapo Mpanga Kipengele GR,kama utakuwa tayari njoo inbox
Asubuhi njema, naomba na mimi namba zake kwa matumizi yangu binafsi.

Shukran
 
Back
Top Bottom