Muuza duka anatafutwa mwenye umri wa miaka kati ya 20-35.
SIFA
1. Jinsia yoyote.
2. Awe na uzoefu wa kazi au uwezo wa kujifunza na utashi wa biashara.
3. Awe na Elimu ya sekondari au aliyejie deleza mwenyewe kiakili.
4. Awe na uwezo wa kutumia kompyuta na ajue hesabu za biashara.
Awasiliane kwa simu namba 0788844175 au 0713962628 kabla ya tarehe 01.07.2019.