Natafuta muuzaji/ kiwanda cha masufuria makubwa kwa bei chee

mzeemzima

Senior Member
Joined
Apr 14, 2010
Posts
132
Reaction score
87
Wadau ,

Nataka kuanzisha biashara ya chakula , sasa natafuta mahali ambapo naweza naweza kupata masufuria makubwa yenye uwezo wa kuchukua lita 15 , 20 , 30 na kuendelea za maji. Naomba kujuzwa wapi naweza nikapata masufuria ya namna hii.

Natanguliza Shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…