Natafuta muwekezaji Dodoma mjini

digalangosha

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2013
Posts
1,572
Reaction score
2,286
Habarini wakuu

Nina eneo langu Dodoma maeneo ya kisasa, nyuma ya St. Gasper hotel, eneo lina ukubwa wa sq 1000....
Kwa nature ya eneo hili sasa hivi naona biashara ya apartment inalipa sana, mimi nguvu sina lakini kama kuna mtu atahutaji kuwekeza aje tuingie makubaliano ajenge tu.....ni mita 150 toka barabara kuu, eneo limezungukwa na hotels na makazi ya watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…