Natafuta muwekezaji kwenye Biashara ya Photography, Video Production na Graphics

Professor X

Member
Joined
May 29, 2020
Posts
45
Reaction score
60
Habari wana jamii Ni matumaini yangu ni wazima wa Afya Kikiwa kimepita kipindi kirefu toka Nilete maombi kwenu.

Niseme tu Asante Kwa waliokuja na kunipa mawazo na kunisahauri ila Nakuja tena mbele yenu kwa unyeyekevu Nikiomba ni mpate muwekezaji ili kuweza kulikamilisha wazo langu Baada ya kupokea USHAURI nimeona ni dili na vitu viwili tu ikiwa ni pamoja na VIDEOGRAPHY na PHOTOGRAPHY kwa kuwa ni vitu vinavyo kwenda pamoja Natanguliza shukurani zangu za dhati kweni na napokea ushauri pia kwa yoyote ASANTENI
Mawasilianao yangu ni
0743150860 voda
0710550860 Tigo
 
Game sio rahisi kma unavyozani, mda mwingi kazi za production zinaenda na conection. kwa maan hiyo unaweza kuwa na vifaa vyote ivo na usipate kazi kwa kuwa huna conection.

Nicheck dm maana nina uhaba wa wafanyakazi..
 
Nimekucheki mkuu
 
Naweza nikaja PM mkubwa? [emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…