natafuta mwalim wa sek tubadilshane kituo cha kaz mim nipo manispaa ya shinyanga mjin

natafuta mwalim wa sek tubadilshane kituo cha kaz mim nipo manispaa ya shinyanga mjin

DEOCHUMA

Member
Joined
Jun 16, 2012
Posts
25
Reaction score
3
kwa walimu wa sekondar mkoa wa morogoro au pwani anayetaka kuja shinyanga mjini tuwasiliane kwa 0719177540 au 0762489789
 
kwa yeyote atakayeguswa anipigie simu au anitumie mesej ktk simu msiniandikie PM.
 
Yaani mtu atoke mjini aje ibadakuki?hshaaa be serious mwalimu
 
Wamekusoma mwl, mi mwenyewe shinyanga napapenda ila mmmmmmh...
 
mbona unaguna kwani shinyanga mjin kunanin?mbona pazur tu mim shida yngu nataka nisogee karibu na home
 
Back
Top Bottom