Natafuta Mwalimu wa Chekechea

Natafuta Mwalimu wa Chekechea

SHIGOTTO

Senior Member
Joined
Sep 4, 2018
Posts
156
Reaction score
282
Waungwana habari za mwaka mpya,

Nimekuja jukwaani natafuta mwalimu wa CHEKECHEA shule ipo kiluvya madukani njia ya kwenda kwa waziri mkuu SUMAYE.

Kwa aliye tayari aje PM tupange kazi, muwe na siku njema
 
Waungwana habari za mwaka mpya, nimekuja jukwaani natafuta mwalimu wa CHEKECHEA shule ipo kiluvia madukani njia ya kwenda kwa waziri mkuu SUMAYE kwa aliye tayari aje PM tupange kazi, muwe na siku njema
Wanakuja mkuu, ...
 
Back
Top Bottom