S SHIGOTTO Senior Member Joined Sep 4, 2018 Posts 156 Reaction score 282 Jan 23, 2023 #1 Waungwana habari za mwaka mpya, Nimekuja jukwaani natafuta mwalimu wa CHEKECHEA shule ipo kiluvya madukani njia ya kwenda kwa waziri mkuu SUMAYE. Kwa aliye tayari aje PM tupange kazi, muwe na siku njema
Waungwana habari za mwaka mpya, Nimekuja jukwaani natafuta mwalimu wa CHEKECHEA shule ipo kiluvya madukani njia ya kwenda kwa waziri mkuu SUMAYE. Kwa aliye tayari aje PM tupange kazi, muwe na siku njema
Orosso JF-Expert Member Joined Aug 3, 2022 Posts 949 Reaction score 2,284 Jan 23, 2023 #2 SHIGOTTO said: Waungwana habari za mwaka mpya, nimekuja jukwaani natafuta mwalimu wa CHEKECHEA shule ipo kiluvia madukani njia ya kwenda kwa waziri mkuu SUMAYE kwa aliye tayari aje PM tupange kazi, muwe na siku njema Click to expand... Wanakuja mkuu, ...
SHIGOTTO said: Waungwana habari za mwaka mpya, nimekuja jukwaani natafuta mwalimu wa CHEKECHEA shule ipo kiluvia madukani njia ya kwenda kwa waziri mkuu SUMAYE kwa aliye tayari aje PM tupange kazi, muwe na siku njema Click to expand... Wanakuja mkuu, ...
Kanungila Karim JF-Expert Member Joined Apr 29, 2016 Posts 20,743 Reaction score 25,564 Jan 25, 2023 #3 Umepata?