Natafuta Mwalimu wa Dini ya Kiislam (Madrasa), awe Mwanamke

Natafuta Mwalimu wa Dini ya Kiislam (Madrasa), awe Mwanamke

majangatz

Senior Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
107
Reaction score
91
Assalam Alleykum. Ninahitaji mwalimu kwa ajili ya kufundisha dini ya Kiislam. Sehemu alipo mwanafunzi ni Luguruni, Morogoro Road.

Mwalimu lazima awe mwanamke na mwanafunzi hajawahi kusoma Quran japo ana Idea na mambo ya Kiislam. Tafadhali kwa anayemjua mwalimu au mtu ambaye anaweza kufanya kazi hiyo tuwasiliane. Ratiba ya kusoma tutapanga baada ya kujadiliana.

Piga 0713 584 226 tujadili hili. Natoa shukrani zangu za dhati kwenu wote.
 
Zamani pale Sido upanga kulikuwa na madrasa ya watu wazima, miaka ya 2000 huko.
Yes japo naishi mbali sana na eneo hilo. Nikipata mwalimu wa kuhudumu ingependeza zaidi. Hata kwa wk mara 3 au 2 inatosha.
 
Yes japo naishi mbali sana na eneo hilo. Nikipata mwalimu wa kuhudumu ingependeza zaidi. Hata kwa wk mara 3 au 2 inatosha.
Nafikiria nikipata ntakujulisha na kuwauliza watu ninaowajua km wataweza mkuu kufanya kazi hiyo.Mimi najua malipo yake mkuu siyo kutoka kwako.
 
Takbir. Shehe huyo Mwalimu akipatikana na Kama anaijua dini kweli oa tu. Inshallah
 
Assalam Alleykum. Ninahitaji mwalimu kwa ajili ya kufundisha dini ya Kiislam. Sehemu alipo mwanafunzi ni Luguruni morogoro road. Mwalimu lazima awe mwanamke na mwanafunzi hajawahi kusoma Quran japo ana Idea na mambo ya Kiislam. Tafadhali kwa anayemjua mwalimu au mtu ambaye anaweza kufanya kazi hiyo tuwasiliane. Ratiba ya kusoma tutapanga baada ya kujadiliana.

Piga 0713 584 226 tujadili hili. Natoa shukrani zangu za dhati kwenu wote.
Waalaykum salam warahmatullah, ynaweza kwenda karibu na msikiti uliokaribua na eneo lako ukawauliza viongozi wa hapo wanaweza kua msaada
 
Back
Top Bottom