Zamani pale Sido upanga kulikuwa na madrasa ya watu wazima, miaka ya 2000 huko.Nataka mwalimu Sio mchumba.
Nafikiria nikipata ntakujulisha na kuwauliza watu ninaowajua km wataweza mkuu kufanya kazi hiyo.Mimi najua malipo yake mkuu siyo kutoka kwako.Yes japo naishi mbali sana na eneo hilo. Nikipata mwalimu wa kuhudumu ingependeza zaidi. Hata kwa wk mara 3 au 2 inatosha.
Nitajitahidi kulipa pesa ya kuridhisha maana deni lake kubwa sana halina thamani ya kulinganisha.Nafikiria nikipata ntakujulisha na kuwauliza watu ninaowajua km wataweza mkuu kufanya kazi hiyo.Mimi najua malipo yake mkuu siyo kutoka kwako.
Waalaykum salam warahmatullah, ynaweza kwenda karibu na msikiti uliokaribua na eneo lako ukawauliza viongozi wa hapo wanaweza kua msaadaAssalam Alleykum. Ninahitaji mwalimu kwa ajili ya kufundisha dini ya Kiislam. Sehemu alipo mwanafunzi ni Luguruni morogoro road. Mwalimu lazima awe mwanamke na mwanafunzi hajawahi kusoma Quran japo ana Idea na mambo ya Kiislam. Tafadhali kwa anayemjua mwalimu au mtu ambaye anaweza kufanya kazi hiyo tuwasiliane. Ratiba ya kusoma tutapanga baada ya kujadiliana.
Piga 0713 584 226 tujadili hili. Natoa shukrani zangu za dhati kwenu wote.
Nimejaribu hilo japo sijafanikiwa ndio mana nimeliweka hapa wenda akatokea mtu akanisaidia
Sheikh ulifanikisha?Kibamba