Natafuta mwalimu wa dodoma kubadilishana naye kituo cha kazi mimi nipo kasulu.

Natafuta mwalimu wa dodoma kubadilishana naye kituo cha kazi mimi nipo kasulu.

mjombakaka

Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
26
Reaction score
16
Please kama kuna mwalimu wa dodoma anayehitaji tubadilishane kituo cha kazi tuwasiliane kwa namba hii 0713-345352 mimi nipo kasulu kigoma.
 
Mmeanza, mlikuwa mnalilia ajira, ajira zimetoka mnaanza kusumbua uhamisho, Walimu wa Tanzania ni janga la Taifa
 
kaka we ndo ushafika huko, cha kufanya tafuta mke uanzishe familia. Mpe hi zito
 
Watu wasiache kupishana na Wabunge waje tena Kasulu?
 
Back
Top Bottom