Natafuta mwalimu wa GIS

Natafuta mwalimu wa GIS

Habari wakuu
Ninauhitaji wa mtaalamu atakaeweza nifundisha GIS sana sana kwenye kutumia Tools kama QGIS na ARCGIS
Awe Daressalaam
Huu ni mwaka 2022 unachofanya utapoteza pesa na muda.

Kama unataka kujifunza QGIS au ArchGIS ingia google search hizi sites.

1. Youtube (hii ni free of charge, nashauri uanze na hii option). Just ingia youtube then seaech "qgis tutorial for beginers" au "archgis tutorial for beginers" utapewa list ya tutorials utachagua utayotaka.

Pro tip, hakikisha unatumia tutorials za watu wanao tumia latest version za hizo software..

2. Udemy (hii ni around 10 - 15usd per kozi).

Kazi kwako!

NB: Mimi nimejifunza kutumia qgis kwa kutumia youtube tutorials.
 
Hii QGIS nilikuwa nayo kwenye Laptop juzi kati tu nikai-unistall SAUT tumesoma sana pamoja na IDRIS SELVA mwaka 2020.
 
Back
Top Bottom