Natafuta mwalimu wa gymnasium

Natafuta mwalimu wa gymnasium

Mrembo

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2008
Posts
415
Reaction score
219
Habari za mchana na poleni na majukumu.

Jamani humu ndani kama kuna mtu anafahamu mwalimu wa gymnasium au mahali nawezapata info zitakozoniwezesha kupata uyo mwalimu naomba nisadie, pia unawezanitumia kama ni number ya sim kwa PM.

Asanteni sana
 
Upo eneo gani? Ratiba yako ya kuhudhuria ipoje? Kama upo Arusha au Moshi just PM me

Ungeandika Gym would be easy to grab
 
Unataka kujaza nn? . Kama kupungua nitafute.. au kujaza kalio au bega.
Niko dar kijichi

Cc. Sir Midabwada
 
Upo eneo gani? Ratiba yako ya kuhudhuria ipoje? Kama upo Arusha au Moshi just PM me

Ungeandika Gym would be easy to grab
Asante, lakini hii sio gym ya kufanya mazoezi. Nazungumzia gymnasium sijui kiswahili chake, ila utakuwa umeona mashindano ya Olympics wanakuwaga na section ya gymnasium, wanaruka kubinuka etc. Nipo Dsm
 
Michezo yenyewe inaitwa gymnastic
 
Back
Top Bottom