Natafuta mwalimu wa kiswahili, mwenzi, kiongozi wa safari, n.k.

Natafuta mwalimu wa kiswahili, mwenzi, kiongozi wa safari, n.k.

Tomtken

Member
Joined
Aug 6, 2011
Posts
5
Reaction score
0
Hi

Najaribu kujifunza kiswahili tangu mwaka uliopita. Nakaa Ulaya. Hapa sina nafasi ya kuzungumza na mtu anayesema kiswahili kwa kufasaha. Februari ijayo, wakati wa festival Sauti za Busara, nataka kukaa Unguja kwa juma mbili au zaidi.

Ninafikiria tutasoma kwa muda wa masaa mawili matatu kila siku. Juu ya hayo tutakuwa na wakati nzuri pamoja, kukaa hotelini nzuri, kutemebelea mahali pa kuvutia au konzati, kuzungumza, kucheka, chakula chema, pwani nzuri na kadalika.

Ninatafuta mwanamke, elimu ya juu au mwanachuo, miaka 20 mpaka 30, wa kupendeza, good english, nice to be with.

Mimi, ni mwanaume, nina miaka 40+, elimu ya juu, njema. Utapenda udamisi wangu.

Ukivutiwa ... ...
Asante sana!

Tom
 
. Juu ya hayo tutakuwa na wakati nzuri pamoja, kukaa hotelini nzuri, kutemebelea mahali pa kuvutia au konzati,. Utapenda udamisi wangu.

Tom nipo tayari kukuunganisha na dada mmoja rafiki yangu. ana sifa zote hizo on top amewahi kukaa ulaya, UK in particular so haitakuwa taabu pia kwa utamaduni wa ulaya ila naomba kwanza tafsiri hayo maneno kwenye red kwa kiswahili fasaha au kiingereza niyaelewe.

Asante sana kuonesha nia ya kutakaka kujiunga na watanzania.
 
why woman?, why age limit?, why privacy teaching?(in hotel), why.................................
Express ur interest dont dare!
 
why woman?, why age limit?, why privacy teaching?(in hotel), why.................................
Express ur interest dont dare!

Sasa na wewe mbona mgumu kuelewa? we unafikiri anataka kufundishwa tu? wenye akili tumeshaelewa huyu jamaa anataka nini cha ziada..........
 
Leo wamekuja na gia ya kizungu hahaha! utapata wengi tu na pia tuma u-turn.blog utapata zaidi ya mia wa kuchuja lol
 
Tom nipo tayari kukuunganisha na dada mmoja rafiki yangu. ana sifa zote hizo on top amewahi kukaa ulaya, UK in particular so haitakuwa taabu pia kwa utamaduni wa ulaya ila naomba kwanza tafsiri hayo maneno kwenye red kwa kiswahili fasaha au kiingereza niyaelewe.

Asante sana kuonesha nia ya kutakaka kujiunga na watanzania.

Hi Nduka. Unaweza kunipelekea barua pepe (xxx)? Asante sana.
 
Eti kufundishwa kiswahili..hicho ulichoandika na maneno mengine naapa ni yakabila lako ..afu watudanganya ka hatuna akili..et!!
Jaribu upya lol
 
Hi

Najaribu kujifunza kiswahili tangu mwaka uliopita. Nakaa Ulaya. Hapa sina nafasi ya kuzungumza na mtu anayesema kiswahili kwa kufasaha. Februari ijayo, wakati wa festival Sauti za Busara, nataka kukaa Unguja kwa juma mbili au zaidi.

Ninafikiria tutasoma kwa muda wa masaa mawili matatu kila siku. Juu ya hayo tutakuwa na wakati nzuri pamoja, kukaa hotelini nzuri, kutemebelea mahali pa kuvutia au konzati, kuzungumza, kucheka, chakula chema, pwani nzuri na kadalika.

Ninatafuta mwanamke, elimu ya juu au mwanachuo, miaka 20 mpaka 30, wa kupendeza, good english, nice to be with.

Mimi, ni mwanaume, nina miaka 40+, elimu ya juu, njema. Utapenda udamisi wangu.

Ukivutiwa ... Please write to tomtken@hotmail.com

Asante sana!

Tom

Mmmh huyu ndo hajui kiswahili....? na wanaoujua tuwaweke wapi ? Naona kama ni gia ya kupatia nyapu....., nimeipenda trick yako coz kila mtu an trick yake ya kupatia viburudisho.......... ila utapata. kwa wale wenye akili zao,....Itakuwa ngumu
 
I am very sorry. I really dont understand what you write here. obviously my kiswahili is not good enough. please explain.
If you think I try a trick ... No I dont. All I wrote is true and nothing is hidden.
 
your swahili is soo perfect,thats why some of us wonder may be its just a trick....what you actually want is a woman/company/partner....lol
 
Asante Neema.
Nimefurahi kwamba unaona kiswahili changu ni kizuri. Lakini ni kweli, ninakaa ulaya, lugha yangu ya kwanza ni lugha moja zungu. Ndiyo, nataka kujifunza kiswahili, naweza kufahamu au kuandika kidogo, lakini siwezi kuzungumza hata kidogo kwa sababu nilijufunza kwa vitabu tu. ndiyo, natafuta msichana mtanzania kukaa wiki moja au mbili pamoja Zanzibar kupitisha wakati njema na kujifunza.
No trick. Hakuna siri yo yote.
 
mbona umekazinia unakaa ulaya kuwa wazi kwamba unatafuta mwanamke wa kuspend naye kimapenzi mbona unazunguka mbuyu? Kiswahili unakijua vizuri sana. Hongera
 
Sasa ndugu hukuongelea malipo ya tuition hapo, ama ndo kulala hotel? Kuna machangudoa wanajua kizungu na kiswahili, wanaweza kukufundisha ila italazimu ulipie tuition fee, proffessional fee, incidentals na huduma yoyote ya ziada itakuwa negotiable.
 
Back
Top Bottom