Natafuta Mwalimu wa Kozi ya Excel

Dodo86

Member
Joined
Oct 23, 2018
Posts
99
Reaction score
83
Habari wana Jamii..

Nilikua naulizia kama kuna mtu anamfahamu mwalimu wa Excel na tally tuwasiliane tafadhali.

0712220207
 
Habari wana Jamii..

Nilikua naulizia kama kuna mtu anamfahamu mwalimu wa Excel na tally tuwasiliane tafadhali.

0712220207
Mkuu acha uzembe. Ingia youtube then search "excel tutorial for beginers" utajifunza mengi kuliko unachotaka fanya.

NB: Hata huyo mwalimu naye kajifunzi youtube.

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Mtoa Mada: mimi ni certified professional MS PACKAGE practitioner, pia nina experience na data analysis, Automation etc .. hasa kwa kutumia mifumo ya BM... etc..

SASA.

Hao walio tangulia kukutafuta kama hutoelewa au ukitaka mimi nikufundishe utanichek PM. Karibu sana..

NB: Mafunzo ni ONLINE only.. pia ni Interactive wewe na Mimi nachofanya, utakachofanya naona/tunaona.

Pia.. nina syllabus sifundishi kiholela..

Bei ni Buree siku ya KWANZA.. siku zilizobaki UTAAMUA wewe sasa unanilipaje...

Pia nitakupa OFA (Sitaitaja hapa..)

Ikumbukwe Excel inaendana na vikorombwezo vingine..

Karibu anytime.
 
Mawasiliano yako mkuu Gentlemen tafadhali

 
Mimi hapa bado nahitaji ila gharama ziendane na maisha ya sasa,nisiwe fursa
Elimu ni gharama, kuhusu fursa hilo halipingiki ndio maana kukawepo na vyuo vya kufundisha computer applications baada ya kuona kuna uhitaji.
 
Elimu ni gharama, kuhusu fursa hilo halipingiki ndio maana kukawepo na vyuo vya kufundisha computer applications baada ya kuona kuna uhitaji.
Namaanisha bei ya mafunzo iwe afordable mkuu
 
Mkuu samani naitaji kujifunza data analysis nipatie number yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…