mimi ni mwalimu Angelina Simwanza Natafuta mwalimu wa kubadilishana nae,
yeye adje Mtwara wilaya ya Tandahimba Mjini shule ya msingi Amani awe ni mwalimu aliyetoka wilaya ya KAHAMA mkoa wa SHINYANGA namba zangu za simu ni 0769 424 698.
iwapo utakua namfahamu mtu anaetaka kuja mtwara toka KAHAMA basi naomba ujulishe taarifa hii kwa msaada...