Natafuta mwalimu wa kubadilishana

Natafuta mwalimu wa kubadilishana

Mwakikusi

Senior Member
Joined
Jan 14, 2014
Posts
102
Reaction score
24
Mimi mwalimu nipo wilaya ya mufindi nafundisha mafinga mjini shule ya kinyanambo (idara sekondary) natafuta mwalimu wa kubadilishana naye anayefundisha mbeya jiji.nahitaji kuhamia mbeya mjini.
Mawasiliano; 0766260562
 
Back
Top Bottom