Natafuta Mwalimu wa kunifundisha kuuza vitabu Amazon and the like

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,414
Reaction score
2,181
Habari zenu.
Nina vitabu kadhaa,nimeuza kwa online nchini,ninapenda Sasa niuze Amazon na sites zingine.
Hivyo naomba mwenye uzoefu, anipe darasa full kwa malipo

Simu: 0713039875
 
Mtafute Yericko Nyerere miaka kama miwili au mitatu iliyopita alipiga zaidi ya mil 200 Amazon kwa kuuza kitabu chake cha Ujasusi ,alitumia fedha hizo kujenga Ghorofa la floor 3 maeneo ya Mbutu Kigamboni.
 
Shukrani.Naweza kupata mawasiliano yako
 
Back
Top Bottom