Habari zenu.
Nina vitabu kadhaa,nimeuza kwa online nchini,ninapenda Sasa niuze Amazon na sites zingine.
Hivyo naomba mwenye uzoefu, anipe darasa full kwa malipo

Mtafute Yericko Nyerere miaka kama miwili au mitatu iliyopita alipiga zaidi ya mil 200 Amazon kwa kuuza kitabu chake cha Ujasusi ,alitumia fedha hizo kujenga Ghorofa la floor 3 maeneo ya Mbutu Kigamboni.