Ningependa kufanya hivo ila nadhani ni vema zaidi kama mwalimu anae taka kunisaidia atajitokeza wa kwanza na kunitumia PM...Jaribu kufikiria itakuaje nikianza kutuma PM kwa watu ambao sio waalim au kwa waalim ambao hawataki kunisaidia? naweza nikakata tamaa mapema baada ya kujibiwa negatively.mtumie pm barubaru.bila shaka atakidhi kiu yako
Ningependa kufanya hivo ila nadhani ni vema zaidi kama mwalimu anae taka kunisaidia atajitokeza wa kwanza na kunitumia PM...Jaribu kufikiria itakuaje nikianza kutuma PM kwa watu ambao sio waalim au kwa waalim ambao hawataki kunisaidia? naweza nikakata tamaa mapema baada ya kujibiwa negatively.
kama uko jijini Dar, fika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(uwe makini maana FFU inje inje), Taasisi ya Taaluma za Kiswahili ofisi no. 204 kwa katibu muhtasi wa Idara ya Fasihi, Mawasiliano na Uchapishaji, mwambie akuelekeze ofisi ya Prof. Abdu Khamis Mtajuka(ni mzee wa miaka 75, lakini very charming).Anyone?
Mwali usivunjike moyo tafuta elimu, Achana na watu kama Komandoo na don oba - hawana kitu cha maana cha kuchangia hapa - raslimali yao kubwa ni ujinga.
Kiarabu ni moja ya lugha muhimu duniani na ni moja ya lugha rasmi kwenye umoja wa mataifa na majukwaa mengine ya kimataifa. Acha kiswahili chenyewe kimejaa maneno ya kiarabu na kiarabu ndicho kimeitajirisha lugha ya kiswahili katika miundo ya falsafa, mashairi n.k. Jiendeleze - uendelee
kama uko jijini Dar, fika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(uwe makini maana FFU inje inje), Taasisi ya Taaluma za Kiswahili ofisi no. 204 kwa katibu muhtasi wa Idara ya Fasihi, Mawasiliano na Uchapishaji, mwambie akuelekeze ofisi ya Prof. Abdu Khamis Mtajuka(ni mzee wa miaka 75, lakini very charming).
Nadhani atakupatia ufumbuzi wa tatizo lako.
Mwali usivunjike moyo tafuta elimu, Achana na watu kama Komandoo na don oba - hawana kitu cha maana cha kuchangia hapa - raslimali yao kubwa ni ujinga. Kiarabu ni moja ya lugha muhimu duniani na ni moja ya lugha rasmi kwenye umoja wa mataifa na majukwaa mengine ya kimataifa. Acha kiswahili chenyewe kimejaa maneno ya kiarabu na kiarabu ndicho kimeitajirisha lugha ya kiswahili katika miundo ya falsafa, mashairi n.k. Jiendeleze - uendelee
Asanteni kaka zangu. Andare, nimeona ushahuri wako na nikiwa dar nitaufanyia kazi. thank you. Percival, Moyo wangu hauvunjiki kirahisi hivo. huyo Komandoo namuonea huruma. Kwanza jina lake tu linaonesha hakua na uwezo wa kufikiria zaidi ya pumba alio andika. 🙂wewe sijui wa wapi?Yani hujaona mchango wangu chanya hapo juu, ila ukaona madudu ya kina komando?
Sipo Dar mkuu... Na ningependa tuwasiliane online zaidi...
Mimi na wewe tena? si tutadanganyana tu, maana wote wanafunzi? Nimeongea na Mkuu mmoja hapa jamvini, Kasema tupo wengi kumbe. Tunataka kuanzisha thread kule jukwaa la lugha. Karibu.mimi na wewe, au wewe na mwalimuyo?By tha way, hata mimi hupenda nijifunze kiarabu, TUKI wataanza kutoa summer short course ya hiyo kitu kuanzia mwaka ujao.Better uwe hapa ujifunze...