J JOSEPH MALULU Member Joined Jan 2, 2014 Posts 77 Reaction score 9 Dec 29, 2014 #1 Aje geita wilaya ya chato mimi ni hamie wilaya ya RUNGWE mbeya(mwl.msingi) kama yupo kutoka RUNGWE tuwasiane.0769056633
Aje geita wilaya ya chato mimi ni hamie wilaya ya RUNGWE mbeya(mwl.msingi) kama yupo kutoka RUNGWE tuwasiane.0769056633
T tonga2014 Member Joined Dec 25, 2014 Posts 92 Reaction score 16 Dec 30, 2014 #2 Komaa wewe acha kulegea
Ushirombo JF-Expert Member Joined Jan 22, 2013 Posts 3,558 Reaction score 2,702 Dec 30, 2014 #3 unakadem nini tukuyu? Hapo kaa upge chaki mkuu.
M mbakka JF-Expert Member Joined May 29, 2013 Posts 262 Reaction score 58 Dec 30, 2014 #4 Hakuna wilaya ya tukuyu ndani ya tanznannania ila kuna wilaya ya rungwe.
J JOSEPH MALULU Member Joined Jan 2, 2014 Posts 77 Reaction score 9 Dec 30, 2014 Thread starter #5 Niko kuelimisha watu kama wewe tukuyu ni halmashauri, we wa wapi uliza kabla.