Natafuta mwalimu wa tuisheni ya Geo kwa form 3 na 4

neo1

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2013
Posts
576
Reaction score
840
Habari wana ndugu,

Natafuta mwalimu wa Geography kwa kidato cha 3 na 4, nataka kwa ajili ya mdogo wangu ambaye yupo sec,

Sio lazima awe mwalim ila hata mwanafunz anaeingia chuo aliesoma combination ambayo ina Geography ndan yake itakuwa nzuri zaid!!

Mshahara maelewano...tunaweza kulipana kwa topic au kwa mwez!!!.

Mwalim akiwa anakaa maeneo ya Kinondon itakuwa rahisi zaid kwa usafiri maana muda kusoma ni jion kuanzia sa 2!!.

Topic za kusoma ni statistics, photograph and interpretation, map reading , survey and research na topic zingine ambazo mwalimu atashauri kwa kuzingatia maendeleo ya mwanafunz.

Ni pm kama uko interested.
 
ungekuwa tabora kuna mwalimu anayeijua Geography vizur kwa olevel hata pia a level.
....shule anayofundisha KAZIMA SEC TBR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…