Wadau,
Natafuta Mwalimu wa kufundisha twisheni kwa mwezi mmoja tu!!
Masomo ni Hisabati na English,
Darasa la Sita, La Nne na La Kwanza,
Malipo ni Tshs Laki 4 kwa kipindi chote cha huo mwezi mmoja, (laki 1 kwa wiki)
Vigezo;
Awe wa kike,
Awe ana uwezo wa kuelezea na kueleweka kwa wanafunzi wake,
Ajue kumsoma mwanafunzi na kugundua udhaifu wake,
Awe anazingatia ratiba,
Otherwise mambo mengine PM inatosha