Natafuta Mwalimu wakubadilishana nae.

Natafuta Mwalimu wakubadilishana nae.

mbogolo

Member
Joined
Dec 24, 2012
Posts
26
Reaction score
3
mi mwalimu wa sekondari niko wilayani TUNDURU. natafuta mwalimu wa kubadilishana nae to mkoa wowote tanzania isipokuwa tanga, lindi, mtwara, dar na shinyanga. tuwasiliane kwa 0682136570
 
tatizooo ni niniiiii hebuuuu fungukaaaa iliiiiii tueleweeee tuwezeeee kukuuusaidiaaaaaa
 
ndugu y-n tatizo ni kwamba unakuwa uhusiki na hiyo mada. hivyo utaishia na butwaa. kwa mwalimu ashangai. ndugu yangu kuwa muungwana.
 
ndugu y-n tatizo ni kwamba
unakuwa uhusiki na hiyo mada. hivyo utaishia na butwaa. kwa mwalimu
ashangai. ndugu yangu kuwa muungwana.

let us assume tumemuelewa,lakini kwa7bu tume-let,mwisho wa siku inabaki bado hajaeleweka,mwalimu anashndwa kujieleza?tangazo linakuwa kama kishazi tegemezi.!
 
Back
Top Bottom