mi mwalimu wa sekondari niko wilayani TUNDURU. natafuta mwalimu wa kubadilishana nae to mkoa wowote tanzania isipokuwa tanga, lindi, mtwara, dar na shinyanga. tuwasiliane kwa 0682136570
let us assume tumemuelewa,lakini kwa7bu tume-let,mwisho wa siku inabaki bado hajaeleweka,mwalimu anashndwa kujieleza?tangazo linakuwa kama kishazi tegemezi.!