Natafuta mwanamke, alie serious kuwa mke

Mwalimu kp

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2011
Posts
574
Reaction score
488
Habari wana jukwaa.Mimi ni mwanaume mwenye miaka 34,ni mwajiriwa wa serikali.Na Ni mrefu kiasi na mnene wa wastani.Dini yangu ni RC na kabila langu ni mchaga.Natafuta mwanamke mwenye umri wa kati ya miaka 24 na kuendelea.Awe anajitambua na kuwa na hofu ya Mungu.Dini yoyote,kabila lolote.Awe ameajiriwa(akiwa Mwalimu au Muuguzi itapendeza zaidi)Au awe amejiajiri.Kuhusu maumbile awe wa kawaida tu.Kwani sote tumeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu.Mimi nipo Kilimanjaro. Tafadhali kwa aliye serious ani PM. Kama unaona haupo interested,please usisababishe usumbufu usio na sababu.Niwatakie jioni njema.Mbarikiwe sana wakuu.
 
Wanawake Wap hamchangamkia fulusa

Back
Top Bottom