Mtu na nusu
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 680
- 1,306
Hata Babu naye aliniambia hivihivi mara kwa mara.
Bro naskia mwanamke mwenye umri mkubwa ndo huwa ana mapenzi ya dhatiUmri wako ni chini ya miaka 25, unatafuta mwanamke wa miaka 27. Usije kulia humu yakikutokea ya nuh mziwanda.
Bro naskia mwanamke mwenye umri mkubwa ndo huwa ana mapenzi ya dhati
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni bahati nzuri kwangu... π