Natafuta mwanamke aliyenizidi umri (sugar mummy)

Alafu utegemee vijana wa hivi walisaidie nini taifa
Kutwa kucha wanawaza MASHANGAZI
 
Uvivu ni adui mkubwa kwa ujenzi wa taifa,kwani ndicho kiini hasa kisababishacho njaa.....

Wazee wenzangu endeleza haka ka wimbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…