Natafuta mwanamke aliyetayari kuingia ktk ndoa.

Natafuta mwanamke aliyetayari kuingia ktk ndoa.

Mnyella

Member
Joined
Aug 8, 2012
Posts
43
Reaction score
6
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 43,nina dhamira ya kweli natafuta mke.Naitaji mwanamke ambae atakuwa tayari kuingia ktk maisha ya ndoa,natafuta mwanamke mwenye umri wa kuanzia miaka 38 na kuendelea.
 
Suala la kuwa au kutokua na watoto mkuu hulizingatii??? Maana kwa umri huo lazima atakua na watoto kadhaaa...........
 
Dah! Nimekosa bahati ya kuingia kwenye ndoa hivi hivi..! Kila la heri Kaka..!
 
Back
Top Bottom