M Mnyella Member Joined Aug 8, 2012 Posts 43 Reaction score 6 Feb 4, 2013 #1 Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 43,nina dhamira ya kweli natafuta mke.Naitaji mwanamke ambae atakuwa tayari kuingia ktk maisha ya ndoa,natafuta mwanamke mwenye umri wa kuanzia miaka 38 na kuendelea.
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 43,nina dhamira ya kweli natafuta mke.Naitaji mwanamke ambae atakuwa tayari kuingia ktk maisha ya ndoa,natafuta mwanamke mwenye umri wa kuanzia miaka 38 na kuendelea.
Z Zero One Two JF-Expert Member Joined Sep 16, 2007 Posts 9,346 Reaction score 3,028 Feb 4, 2013 #2 Kila la kheri Mnyella Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 16,515 Reaction score 28,506 Feb 4, 2013 #3 Suala la kuwa au kutokua na watoto mkuu hulizingatii??? Maana kwa umri huo lazima atakua na watoto kadhaaa...........
Suala la kuwa au kutokua na watoto mkuu hulizingatii??? Maana kwa umri huo lazima atakua na watoto kadhaaa...........
Neylu JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 2,938 Reaction score 1,844 Feb 4, 2013 #4 Dah! Nimekosa bahati ya kuingia kwenye ndoa hivi hivi..! Kila la heri Kaka..!