Natafuta mwanamke aliyetayari kuolewa na kuishi na mume kwa upendo

Natafuta mwanamke aliyetayari kuolewa na kuishi na mume kwa upendo

Joined
Apr 28, 2020
Posts
24
Reaction score
46
Habari za humu wanajamii.
Najua huku wapo watu wa aina mbalimbali walioolewa na wale ambao bado na kwa namna moja au nyingine wanahitaji wapate wenza wao kupitia huku au hata kwingineko.
Binafsi natafuta mwanamke aliyetayari kuolewa na kuishi na mume kwa upendo.
Mwenye uhitaji huo kwa mwanamke naomba anichek PM tafadhali.

MWANAMKE AWE..
1.Hajaolewa au hata kama ameolewa anataka kuachika sawa,kuwe na makubaliano ya kuachana kati yao.

2.Asiwe na mtoto au labda awe na mtoto mmoja tu.
3.Awe mzuri,sichagui rangi.
4.Awe ameajiriwa au kujiajiri.
5.Asiwe mpenda ugomvi japo kugombana katika maisha ni kawaida.
6.Elimu yoyote .
7.Umri kuanzia wa serikali hadi 35

SIFA ZANGU.
1.Mpole.
2.Mnyenyekevu kwa mke nitakayempata
3.30 yrs.
4.Elimu ya chuo (sio madrasa)
5.Nimejiajiri japo sina kipato kikubwa hivyo tukiwa wawili tunaweza kuendesha maisha yetu vzr tu.
6. Nina malengo makubwa sana ya maisha.
(atanielewa tukiwa pamoja)

Ahsanteni na Karibuni wenye uhitaji

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee hapo kwenye mtoto hebu rekebisha maana panaleta mkanganyiko. Utaonekana huna msimamo. Ungesema asiye na mtoto utampa kipaumbele!

Na kwa aliyezaa tayari, basi asiwe na zaidi ya mtoto mmoja, na chuchu zake ziwe walau saa 7 hivi au saa 8 na zisiwe saa 12 jioni. Au unaonaje? Kila la heri. Mimi mwenzako nimeshapata kifaa humu humu kinachofanyia kazi benki! Bado tu kwenda kujitambulisha.
 
Asipokuwa mtoto kabisa itapendeza japo hata aliyenaye ila asiwe na zaidi ya mtoto mmoja nayo sio mbaya.
Chuchu hizo sasa haaa haa haa.
mambo mengine tunaweka private boss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom