She is welcomeLess than 10 days jf. Looking for wife haya mkuu wanakuja acha pm yako wazi uwe una update uzi huu wawe wanauona uona by the way tuanze na huyu alikuwa na hitaji kama lako. Miss Natafuta
Tuachane na hayo,nikutakie kila la kheri kwenye sakasaka yako mkuu.Typing error brother!! Siunajua simu zetu
Hahaha umesome vigezo lakini? Unaweza kuwa unafanya kazi sehemu lakin type unayo hitaji isiwepo!!! Kama ningeamua kuoa yyte nauwezo huo BT vigezo na mashart kuzingatiwa.. alafu nimeamua kutafta jf coz naamin atakuwa mjanja na uwezo kimawazo.., na kuhusu sura ataiona mwenyewe..Yaani kiuchumi unajiweza na unafanya kazi serikalini na hakuna dada aliyejilengesha hata mmoja? Unafanana na nitonye au King Kong III kwa sura?
Yes kaka, nafurahi kwa kulitambua Hilo, and what you say is exactly true.. we know ourself.. BT ucjar hata Kama hatokuwa mwema nitamfanya awe mwema coz Mungu ametupa uwezo mkubwa Sana wa kuishi na wanawakeJumbe kama hizi nlikua nachukuliaga poa sana. Najiuliza hawa majamaa wanawazaga nini.
Ila nimekuja gundua wengine wako dead serious kuhusu hizi mambo. Wakikwambia yaliyowakuta na watu wao, unamuweka kabisa kwenye maombi atakaekuja dm awe mwema. [emoji119]
Sura ata mbuzi anayo,chura kwanza je yupo ?hahahKila anayetafuta mke anataka masta digrii bachela haya twende kazi atakayetaka wa darasa la saba nipo nimejaa tele ila Nina sura ya babangu mkubwa
Mimi nakila kituKwa majiana naitwa Elnest tesha, namiaka 33 natafuta mwanamke ambaye atakuwa tayar kufunga ndoa na Mimi .. sifa, awe mcha mungu, dini yoyote, awe na bachelor degree, masters, au PhD ikiwa computer science, information technology itakuwa vizur zaidi.. Binafsi nina bachelor degree ya computer engineering, nafanya kazi serikalini, kiuchumi najiweza.. Kama una vigezo ivyo welcome pm
Hata chura sinaSura ata mbuzi anayo,chura kwanza je yupo ?hahah