Wasifu wako mkuuu
Mnyella, ni habari njema unatafuta mke!!! Kwa umri ulio nao hujawahi kuoa? Na kama bado kuna shida gani? Hii advertisement yako haijakaa sawa, weka basic information maana kwa umri wako mhhhhhhhh!!! Na huyo mke above 40 naye atakuwa single, au mjane au naye alikosa mume? Maana kwa umri huo kwa wanawake wengi ni ama wajane, ama wana watoto, ama walipata mikasa ya maisha na hawakupata waume, niseme pengine walipata bahati mbaya kupate hit and run!!! Jipange vizuri!!! All ze best!!!Nina miaka 43,natafuta mwanamke anaeitaji mume na ambae yuko tayari kuolewa,sitaki vijana ni waongo sana wengi wana malengo binafsi,natafuta mwanamke kuanzia miaka 40 na kuendelea,kama unaitaji mume kwa ajili ya kuolewa tuwasiliane kwa email adres,mnyella@ovi.com
Nina miaka 43,natafuta mwanamke anaeitaji mume na ambae yuko tayari kuolewa,sitaki vijana ni waongo sana wengi wana malengo binafsi,
natafuta mwanamke kuanzia miaka 40
na kuendelea,kama unaitaji mume kwa ajili ya kuolewa tuwasiliane kwa email adres,mnyella@ovi.com
Hapo kwenye red Mkubwa hakika humu jamvini rika hiyo ni adimu!
Lakini jaribu bahati yako!
Na ukimpata usisite kujutujuza!
Mkuu Liverpool,
Huwezi jua JF ina
watu wa rika zote na 40 and above
kwa wanawake yawezekana wapo ila tatizo haileweki kama wapo single na wanataka kuolewa!!! Umri huo unakuta wanawake wengi wameshajijenga hata kama hajaolewa!!! Je atakubali kuolewa!!! Hebu tusubiri na atupashe akipata!!!
Zogwale! Hakika tuna umri huu sana humu jamvini ila kwa wanawake Mi nina hofu hili rika ni adimu sana!
Lakini kwa mamen hakika wako na zaidi ya hapo hata!
Mi bado nina hofu na huyu member aliyebandika uzi huu kwnn naye kama hajaooaga mpk age aliyenaye!