Mungu akupe wa kufanana nawe Mkuu
Sio rahisi rafiki!Daah ila maranyingi vipereto au wakorofi wanakutana na wapole au wastaarabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuhh ngoja nijipange pange, nitoe Uzi namie ,nitajaza vigezo ulivyo navyo wewe pekeako.Duh mbona sina kigezo hata kimoja?
Fanya hivyo jamani na mimi ninaye mumeDuuhh ngoja nijipange pange, nitoe Uzi namie ,nitajaza vigezo ulivyo navyo wewe pekeako.
Fanya hivyo jamani na mimi ninaye mume
Duh typing error nilitaka kusema nipate mumeHaaaa kumbe umeshabebwa