Natafuta Mwanamke atakayekuja kuwa mke wangu

Natafuta Mwanamke atakayekuja kuwa mke wangu

John Amigo

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2016
Posts
627
Reaction score
414
Kwema wanazengwe,

Kama apo juu palivyo Mungu akijaalia baadae awe wife umri kuanzia 25yrs angalau. Mimi ni Christian, muajiriwa, my age 28 sina vipengele vingi lakin awe tayari kupima afya cha kwanza lakin asiwe mchaga

Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
miaka 28 yote huna hata wa kuchat naye umugeuze kuwa mke.
utapata pambana

[emoji375][emoji375]
 
Back
Top Bottom