John Amigo
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 627
- 414
Ww acha kumkatisha tamaa mwenzio bas kuwa wwmiaka 28 yote huna hata wa kuchat naye umugeuze kuwa mke.
utapata pambana
[emoji375][emoji375]
Why sio mchagKwema wanazengwe,
Kama apo juu palivyo Mungu akijaalia baadae awe wife umri kuanzia 25yrs angalau. Mimi ni Christian, muajiriwa, my age 28 sina vipengele vingi lakin awe tayari kupima afya cha kwanza lakin asiwe mchaga
Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
Bahati yako inaweza kuwa kwangu usijali,ni pm tuzungumze