Natafuta mwanamke atakayekuwa mke wangu wa maisha(naomba walio serios tuwasiliane)

mkali kwanza

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2012
Posts
1,301
Reaction score
1,181
Najitokeza katika safu hii kwa mara ya kwanza kutafuta msichana ambaye baadae tutakuwa familia.Nina miaka 26 nafanya kazi,mweupe,mnene wastani,mrefumwislam na mchapakazi. Msichana ninayemhitaji awe na sifa zifuatazo

1.Mwislam na akiwa mwarabu au hata mwafrika atapewa priority
2Awe na kisomo walau form 4 na kuendelea
3.Awe mpenda maendeleo asitangulize pesa mbele.
4.Awe serious katika relation na awe mkweli katika nafsi yake
5.Awe tayari kukabiliana na changamoto za kimaisha(mapenzi yake yasiwe tu wakati wa raha bali hata shida pia)
6.Awe anajielewa nini anakifanya

Mabinti wa kiislamu ambao mlio serious na suala hili naomba tuwasiliane kwa mawasiliano haya
email:abubakaromarkizango@yahoo.com
Mobile contacts:0767681302/0713681302

Sms zote zitajibiwa na simu zitapokelewa.
 
Mmmh jaman hampo serious!! Kwel we umshindwa kimpata m2 unayempenda katika mishe zako zote?? Mpaka tutafutane mtandaon? U can't be serious once again. Sasa ukikubaliana na m2 kwenye cm au email then baada ya kumuona ukamdis inakuwaje. Kama umeshindwa kutongoza unaowaona waombe bac wazaz wakutafutie huyo mke bac.
 
Sayota najua unanidharau lakini nisingependa uongee mambo usoyajua kuhusu mimi.Usimjudge mtu the way unavyoona wewe
 
Mmmh jaman hampo serious!! Kwel we umshindwa kimpata m2 unayempenda katika mishe zako zote?? Mpaka tutafutane mtandaon? U can't be serious once again. Sasa ukikubaliana na m2 kwenye cm au email then baada ya kumuona ukamdis inakuwaje. Kama umeshindwa kutongoza unaowaona waombe bac wazaz wakutafutie huyo mke bac.
 
Sayota mimi ninatuma post huku kutafuta mwanamke wewe tatizo lako ni nini? Au Jamii forum ni yako wewe pekee?
 
Najitokeza katika safu hii kwa mara ya kwanza kutafuta msichana ambaye baadae tutakuwa familia.Nina miaka 26 nafanya kazi,mweupe,mnene wastani,mrefumwislam na mchapakazi. Msichana ninayemhitaji awe na sifa zifuatazo

1.Mwislam na akiwa mwarabu au hata mwafrika atapewa priority
2Awe na kisomo walau form 4 na kuendelea
3.Awe mpenda maendeleo asitangulize pesa mbele.
4.Awe serious katika relation na awe mkweli katika nafsi yake
5.Awe tayari kukabiliana na changamoto za kimaisha(mapenzi yake yasiwe tu wakati wa raha bali hata shida pia)
6.Awe anajielewa nini anakifanya

Mabinti wa kiislamu ambao mlio serious na suala hili naomba tuwasiliane kwa mawasiliano haya
email:abubakaromarkizango@yahoo.com
Mobile contacts:0767681302/0713681302

Sms zote zitajibiwa na simu zitapokelewa.

Mkuu kwa umri wako inanipa tabu kidogo kwa nini hujapata msichana wa chaguo lako maana mapenzi huanzia shuleni kanisani msikitini sehemu ambazo unakutana na watu wa aina tofauti tofauti...kuna wasichana wengi tu wazuri ila kwa sababu ya shida wanajiuza sinza kama uko dar...unaweza kubahatisha mkuu...ila kipengele namba 4 kimenigusa....unaweza pata mtu asiwe mkweli katika nafsi yake na hiyo itakusumbua maana itakuwa too late....jaribu shekilango road mkuu unaweza bahatisha...wapo kibao
 
sikio la kufa mimi nipo serious na ishu yangu.Nashindwa kuelewa kwa nini umeongea maneno ambayo yapo so offensive sikuelewi.Au wewe ukimuona mtu ana tatizo ndo unafurahia?
 
Back
Top Bottom