Ndoa yenye upako
Member
- Apr 10, 2018
- 6
- 0
Mimi ni mwanaume halisi najitokeza kwa mara ya kwanza kumsaka Rabeca na nukuu ukisoma Mwanzo 24:44,mwanzo 24:61-67 na amini kabisa mke bora anatoka kwa bwana.umri wangu ni miaka 34,nina elimu ya chuo kikuu,nimejiajiri pia nipo shirika bnafsi.
Mke nimtakaye umri 26-30,awe anajitambua ,wala hana ubaguzi ,yupo tyr kabisa kuolewa mwaka huu,asiye na mtoto,wala kutumia kilevi,mwenye hofu ya Mungu
Awe tyr kuishi na wazazi pande zote kwake na kwangu.Asiwe mchoyo,elimu yake kuanzia Degree,asiwe bonge, awe mweupe sio wa kudownload.Ambaye yupo tyr ani pm ili tujenge maisha ya baadaye na familia tutakayo ianzisha au anitafute kwa +255689899165.
Atakaye wahi nafasi ipo mwisho ni mwezi huu 31/4/2018 mwezi wa tano nikuanza taratibu za kufahamiana na kufanya taratibu stahiki.
N:B awe tyr kupima HIV/AIDS