natafuta mwanamke awe mke wangu

mzee wa tano

Member
Joined
May 11, 2013
Posts
15
Reaction score
0
nina umri wa miaka 28 holder wa post graduate ya accounts,nafamya kaz,mwanamke awe mrefu kiasi elimu diplomaumri kuanzia 24 mpaka 30 awe anafanya kaz au shughuli yoyote inayomuingizia kipato if you meet ni cheki hello8655@yahoo.com
 
Awe na kazi inayomwingizia kipato nahisi na kizi maitaji yako mimi mrefu shughuli zangu ni mgaga wa kienyeji can I apply

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Awe na kazi inayomwingizia kipato nahisi na kizi maitaji yako mimi mrefu shughuli zangu ni mgaga wa kienyeji can I apply

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

oooh okay if ur ready nichek kwa e mail yangu apo juu,naitaji mtu anayejieshim
 
Sasa, ulitaka utafute mwanamke awe mme wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…