Natafuta mwanamke awe mpenzi wangu

Range rover

Senior Member
Joined
Nov 22, 2016
Posts
186
Reaction score
195
Rejea kichwa cha habari hapo juu
Nnahitaji mwanamke atakae kuwa na mapenzi ya dhati, wasifu wangu
>Mrefu wa Wastani
>maji ya kunde
>Nimejiajiri
>Sina nyumba nimepanga room 1
>Nipo DSM
>Elimu ya kawaida
Mwanamke awe mkweli anaejiheshimu awe tayari kunisaidia kwenye biashara zangu.
MUHIMU:MWANAMKE ANATOKEA TARIME, RORYA PITA KULEE👉👉MBALI ,👇👇
Karibuni
 
Wale uliowaambia wapite mbali, wanaendelea kupita na wale ambao hujawaambia wapite mbali bado hawaonekani. Vuta subira
 
Vigezo vyako nimevipenda,hapo uliposema una chumba kimoja umenichekesha kweli
 
Umepanga room 1 ila una Range Rover ?, haina shida hata kwenye Gari tutaishi tuu[emoji3] ,kabila limeniponza aisee, kwani tumekukosea nini watu Wa Tarimee[emoji30]
 
Kwahiyo sisi wakurya hatutakiwi sio?
 
Weka picha
 
Kwahiyo sisi wakurya hatutakiwi sio?
hapana jamani post imejieleza piteni hivi👉👉halafu wewe pia si umesema unataka mwanaume mweusi mbona hukusema kumbe kwenu ni huko Rorya mi hapana wewe😠
 
Asubirie UPEPO WA KISULISULI unakuja na mke wake
Wale uliowaambia wapite mbali, wanaendelea kupita na wale ambao hujawaambia wapite mbali bado hawaonekani. Vuta subira
 
Naona gari linatafuta mke,alafu lina room moja.ngoja waje wadada warefu ,maji ya kunde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…