Natafuta mwanamke awe mwanza

Natafuta mwanamke awe mwanza

duh! Kaka we mkurya? Hata kubembeleza kidogo! L.O.L
 
Kim jong un, pale vitunguu mbona wapo wengi.
 
au aende rumors, kana ana hela aende Mwanza Hoteli

sijui hivi viwanja bado vinawika tena au villa ndo ishakuwa kila kitu.

hee kongosho umetoka mza mwaka gan make rumour is no more hata jengo washalibomoa kitambo sana.mwambie aende delux au the kiss!
 
hasycool umenifurahisha nimeichek tena post yangu nikacheka make nimeiweka kama naforce anyway sitanii
 
Back
Top Bottom